Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Honda nao hawajachelewa party ya EV, tushaona Honda Prologue, N-VAN e na Ye Series EV, sasa wameleta all new 0 Series Saloon.
Kwa sasa wameitangaza tu prototype, mass production haijaanza ila soon itaanza.
Itakua na Level 3 ADAS, air suspension, na mazaga kibao.
Kilichovutia wengi zaidi ni muonekano wake, je itakua hivi hivi au ndio itabadika?
Kuhusu gharama hawajasema, ila tetesi zinasema haitakua cheap. Itakua inashindana na wakina Lucid Air ($70k kwenda juu)