Honda nao hawajachelewa party ya EV, tushaona
Honda Prologue, N-VAN e na
Ye Series EV, sasa wameleta all new
0 Series Saloon.
View attachment 3121344
Kwa sasa wameitangaza tu prototype, mass production haijaanza ila soon itaanza.
View attachment 3121345
Itakua na Level 3 ADAS, air suspension, na mazaga kibao.
View attachment 3121346
Kilichovutia wengi zaidi ni muonekano wake, je itakua hivi hivi au ndio itabadika?
View attachment 3121347
Kuhusu gharama hawajasema, ila tetesi zinasema haitakua cheap. Itakua inashindana na wakina Lucid Air ($70k kwenda juu)