Unene wa mfuko wangu unaruhusu mojawapo ya hizo gari nilizotaja. Ninachotaka kujua ni ipi yaweza ikawa bora zaidi?SASA tukushauri vipi na hujasema unene wa mfuko wako? embu chagua baa gani kinondoni tukutane ili tujadili hili, ikiwezekana njoo na mzigo nusu kwaajili ya adivansi.
Go for Honda,quality car,ninalo for 3 yrs now
Add me Honda group mkuu 0789 121 666