Honda CR-V: Shipa lisilovuma!

Pole Sana hiyo cha mtoto jaribu Nissan X trail
 
Bora umetoa ushuuda mapema mkuu. Maana hizi gari nilikuwa nazitolea macho sana.
 
Naona nawwe limekudodea so unataka uwaingize mkenge wapigakura.
 
Magari yote yanayoitwa yanasumbua ni kwasababu ya kukosa mafundi sahihi na uhaba wa spare zake.

Tz au Afrika mafundi wengi ni wa Toyota na spare za toyota zimejaa madukani.

Labda Kagame atatutoa kimasomaso na mradi wake wa Volks Wagen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…