Honda CR-V: Shipa lisilovuma!

Magari yote yanayoitwa yanasumbua ni kwasababu ya kukosa mafundi sahihi na uhaba wa spare zake.

Tz au Afrika mafundi wengi ni wa Toyota na spare za toyota zimejaa madukani.

Labda Kagame atatutoa kimasomaso na mradi wake wa Volks Wagen.
Hata hao mafundi wanaojifanya wanajua Toyota wengi ni wababaishaji na ujanja ujanja mwingii
 
Hii gari nimeikuta jana usiku jamaa kafungua bonnet mahali ishamchemsha! Honda tutumie pikipiki tu kibongo bongo
 

Vp kuhusu honda crossroad mzee
 
Vp kuhusu honda crossroad mzee
Honda ni brand iliyotengenzwa kwa ajili ya maskini ,maskini hawazitaki wamebaki kukariri ,matajiri wa bahiri wanazikimbilia ,moja ya brand inayofanya vizuri soko la America na ulaya ni honda kwa ujumla

Honda cross road ni gari nzuri imetengenezwa kwa vertion mbili ,JDM na soko la nje

Usifanye kosa kununua honda cross road kutoka singapore ........nyingi hazijafanyiwa recondition

Ni muhimu sana kununua kupitia soko la japan hautaijutia hata siku moja ,kuanzia muonekano ,power ,fuel consuption

sent from HUAWEI
 
Magari yote yanayoitwa yanasumbua ni kwasababu ya kukosa mafundi sahihi na uhaba wa spare zake.

Tz au Afrika mafundi wengi ni wa Toyota na spare za toyota zimejaa madukani.

Labda Kagame atatutoa kimasomaso na mradi wake wa Volks Wagen.
Tz tanzania si africa. Mafund wa kibongo hawatak kujiongeza kuifaham gari za kisasa.
 
Bro, Bima hailipi kirahisi kama unavyofikiria.
Nimefanya kazi na bima kwa miaka kumi hivi... Wengi wetu hatuna uelewa mpana wa mambo ya bima, hatuzisomi zile policy na ishu ya rushwa za police inatatiza wengi
Ukiachana na hizi bima za ssrikali ZIC na NIC bima nyingine karibia zote ziko poa.. Lakini huendi tu kuripoti ajali na kulipwa.. Kuna taratibu zake na kila hatua ni nyaraka na hapa wengi ndio wanapofeli
Mimi ni mfaidikaji wa bima na nimelipwa mara nyingi tuu.. Kwenye bima ZINGATIA UTARATIBU, ZINGATIA NYARAKA! utafaidi
 
Umeelezea vizuri sana Bro, kwa kuongezea hapo hapo, hata mimi pia ni mnufaika wa Bima ila Haikuwa kazi rahisi. Na hata ilipothibitishwa nastahili kulipwa bado nilisubiri zaidi ya miezi miwili gari kutengenezwa, Kabla ya hapo tena nilishatumia mwezi mzima kukusanya taarifa pamoja na vielelezo kupeleka Bima.
Wakati gari yenyewe Ilikuwa imepata Damage kwenye mlango tu.
 
Uchelewesheji wa kutoa go ahead ya matengenezo ni tatizo la bima nyingi bongo
 

Saf sana maana hii gari huwa naikubali sana sema sasa maneno yawatu huwa yananikatisha tamaa sana ukiwauliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…