Honda CR-V SUV ya 2007-8, Cc2350

Honda CR-V SUV ya 2007-8, Cc2350

Silvanos

Member
Joined
Mar 16, 2016
Posts
5
Reaction score
6
Hope Weekend inaenda vyema

Natangulisha Shukrani zangu, kwa mtu yeyote mwenyewe uzoefu wa hio Gari hapo juu kuhusu Changamoto zake.

  • Upatikanaji wa Spares
  • Mafundi
  • Durability

Picha ya Gari pia nimeambatanisha.
IMG_9976.jpg


Ushauri ni Muhimu sana ili maamuzi yafanyike kati ya hii na Harrier tako la nyani.

Ahsanteni, na Karibu kwa maoni.
 
Back
Top Bottom