Silvanos Member Joined Mar 16, 2016 Posts 5 Reaction score 6 Jul 16, 2023 #1 Hope Weekend inaenda vyema Natangulisha Shukrani zangu, kwa mtu yeyote mwenyewe uzoefu wa hio Gari hapo juu kuhusu Changamoto zake. Upatikanaji wa Spares Mafundi Durability Picha ya Gari pia nimeambatanisha. Ushauri ni Muhimu sana ili maamuzi yafanyike kati ya hii na Harrier tako la nyani. Ahsanteni, na Karibu kwa maoni.
Hope Weekend inaenda vyema Natangulisha Shukrani zangu, kwa mtu yeyote mwenyewe uzoefu wa hio Gari hapo juu kuhusu Changamoto zake. Upatikanaji wa Spares Mafundi Durability Picha ya Gari pia nimeambatanisha. Ushauri ni Muhimu sana ili maamuzi yafanyike kati ya hii na Harrier tako la nyani. Ahsanteni, na Karibu kwa maoni.