M MZALAMO JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 1,797 Reaction score 2,025 Nov 10, 2011 #1 Ndugu wana JF naomba kufahamishwa gharama zote za kulipia bandarini(Ushuru na kodi zote) kwa gari ya mwaka 1997 Honda CR-V kutoka Japan CIF 3500 usd. Nitashukuru kwa msaada wenu.
Ndugu wana JF naomba kufahamishwa gharama zote za kulipia bandarini(Ushuru na kodi zote) kwa gari ya mwaka 1997 Honda CR-V kutoka Japan CIF 3500 usd. Nitashukuru kwa msaada wenu.
Ruhazwe JR JF-Expert Member Joined Jan 31, 2011 Posts 3,402 Reaction score 925 Nov 12, 2011 #2 mbona bei ipo juu hiyo,jaribu kuangali www.tradecarviwer.com zipo za bei nzuri
M MZALAMO JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 1,797 Reaction score 2,025 Nov 12, 2011 Thread starter #3 Ahsante kwa ushauri nitafuatilia.
Doltyne JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 440 Reaction score 173 Nov 12, 2011 #4 tembelea Welcome to GariYangu.com - GariYangu.Com itakupa mwanga wa kodi husika. fata maelezo na kujaza form kisha bonyeza enter utapata gharama za kodi
tembelea Welcome to GariYangu.com - GariYangu.Com itakupa mwanga wa kodi husika. fata maelezo na kujaza form kisha bonyeza enter utapata gharama za kodi
M MZALAMO JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 1,797 Reaction score 2,025 Nov 12, 2011 Thread starter #5 Doltyne said: tembelea Welcome to GariYangu.com - GariYangu.Com itakupa mwanga wa kodi husika. fata maelezo na kujaza form kisha bonyeza enter utapata gharama za kodi Click to expand... Nashukuru sana kwa maelekezo yako.
Doltyne said: tembelea Welcome to GariYangu.com - GariYangu.Com itakupa mwanga wa kodi husika. fata maelezo na kujaza form kisha bonyeza enter utapata gharama za kodi Click to expand... Nashukuru sana kwa maelekezo yako.