Kwaio akifika tabata tu inakua inawezekana?Peleka Tabata hawatoshindwa hiyo Kazi.
Ni pesa yako tu, hata ukitaka mbele iwe na shoo ya BMW X3.
Tabata Matumbi au Gereji na kuna gereji za pembezoni wanafanya hizo Kazi.Kwaio akifika tabata tu inakua inawezekana?