Honda CRV vs Nissan xtrail

Honda CRV vs Nissan xtrail

Chakulagani

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
271
Reaction score
51
Wajuzi wa magari naomba muongozo hapo kati ya hizo gari mbili kwa kuzingatia;
A, comfortability
B, long safari
C, Spareparts availability & reasonable price
D, Durability.
 
wajuzi wa magari naomba muongozo hapo kt ya hizo gari mbili kwa kuzingatia;
A, comfortability
B, long safari
C, Spareparts availability & reasonable price
D, Durability.

Xtrail is much better than CRV. Ina good space so far better for long safari with comfortability.

Durability inategemea na upya au status ya gari yenyewe ulipoinunua na matumizi yako Kama ni most rough roads au lami, pia utunzaji wako. So hapa zote sawa tu.

Spare zipo Isipokuwa za Nissan ni very expensive ila most ni genuine parts no fake so una uhakika. Honda zipo spare fake hivyo no guarantee but cheap.

Price ya Xtrail ipo juu zaidi ya CRV. But kwa sababu most tunanunua used, then price hutegemea sana imeshatumikaje na mwaka wa kutengenezwa.

Fuel consumption inategemea na CC za gari. Xtrail zipo matoleo tofauti na ukubwa wa engine CC unatofautiana zipo kuanzia CC 1980 hadi 4000CC but CRV ni 1800cc hadi 2000cc. So ukinunua inategemea na upya/uzuri wa engine. But CC ndogo ndio more economy.
 
Crv ni more durable kuliko xtrail kwani kwa kuanzia tu..ktk fender za mbele za xtrail zimetengenezwa kwa plastic hivyo ukigongwa basi ujue inaweza kukatika kabsa na sio kubonyea..while crv ipo very durable na unaweza kugoogle kuona safety tests za hayo magari mawili.

Kwa engine inategemeana na ukubwa wa engine isipokua crv inacomsume less kuliko xtrail km unavyojua crv inatumia ivtec and its the most efficient fuel system..

Engine ya crv ni most durable ktk safari za mbali nadhani ww uliza mtu yoyote aliekutana na crv ktk masafa atakueleza mziki wake..although ni 4cylinder na cc2000 lkn speed nadhani ni only kilimo kwanza v8 zinaweza kuizidi lkn hizi SUV zingine zinapitwa tu km zimesimama..

Na hapo nazingumzia crv ya kuanzia 2003 ambayo inajulikana zaidi km 2nd generation crv
 
Back
Top Bottom