Hii kitu inaitwa Shineray. Siyo Honda bhana. Na pia ujitahidi kushusha bei kama kweli unataka mzigo utoke haraka.Bei ni shi mil 1 na laki 8
Mahali ilipo ni Arusha city
View attachment 2649831
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
ulikua na mana gani kusema unauza HONDA.