Honda, Mitsubish na Vista - watumiaji wa hizi gari naombeni maoni yenu

Honda, Mitsubish na Vista - watumiaji wa hizi gari naombeni maoni yenu

FLAVOR

Senior Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
138
Reaction score
49
Nahitaji kichagua kati ya gari zifuatazo, Honda CRV 98, Mitsubish Chariot ile mwanzo na Toyota Vista kizazi cha kwanza.

Kama umewahi kumiliki ama unamfahamu mmiliki ambaye amekuwa akilalama au kusifia naomba uzoefu wako kuhusu hizo gari, ipi niepuke na ipi inafaa sana.

Honda CRV ina sifa kemkem mitandaoni lkn mafundi wa bongo wameniambia inasumbua. Hebu nipeni msaada hapo. Mimi ni wale watumiaji ambao hatujali mwaka wa gari, najali consumption, perfomance na nisishinde kwa mafundi kila siku.

Natanguliza shukrani,
 
Back
Top Bottom