Hata resale value ya hio honda ni ndogo.Mkuu chukua Toyota Tu ili kuondoa usumbufu hiyo honda wabongo wengi wanaiopoga.
Hata Kwenye uimara sidhani kama inaweza kuifikia Noah
Hiyo Noah ni mpya sana tofauti ya ile yenye engine ya D4 hii imeimarishwa zaidi baada ya engine ya D4 kuwa na matatizoNoah model hiyo ni kimeo afadhali matoleo mengine lakini si hiyo
Asante kiongoziHata resale value ya hio honda ni ndogo.
Asante kwa ushauriMkuu chukua Toyota Tu ili kuondoa usumbufu hiyo honda wabongo wengi wanaiopoga.
Hata Kwenye uimara sidhani kama inaweza kuifikia Noah
Kwa matumizi ya kifamilia tu wala si kwa Biashara.Go for Toyota Kama unaotia spare pamoja na ulaji was mafuta ila sasa ulikua unaitaji kwa matumizi gani izo gari?