Honda stepwgn Spada

Honda stepwgn Spada

kidi kudi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,450
Reaction score
2,013
Wakuu kwema?

Naulizia kwa anaeyajua vzr haya magari anisaidie vitu kama vile:
1. Upatikanaji wa vipuri
2. Matumizi ya mafuta
3. Uimara wake
N.K

Kuna ofa nimeipata nataka nijilipue na hii family car naona itanifaa.

Natanguliza shukrani kwenu
images.jpeg
 
1. Vipuri: Hii itakuwa ni changamoto kwa sababu hizi gari ni chache sana hapa Tz. Ukikosa kabisa uwe tayari kuagiza spear kutoka nje.

2. Mafuta: Inategemeana na ukubwa wa engine pamoja na uchakavu wa gari. Mengi yana cc kati ya 2000 mpk 2500 kwa hivyo ni affordable na economical. Hakuna tofauti kubwa sana na Noah.

3. Uimara: Magari ya Honda ni imara zaidi (body) huwezi linganisha na Toyota. Likewise, Mitsubishi pia ni imara kuliko Toyota.
Mwisho, Mkuu kamata tu hii gari ukiwa na uwezo wa kuipata.
 
1. Vipuri: Hii itakuwa ni changamoto kwa sababu hizi gari ni chache sana hapa Tz. Ukikosa kabisa uwe tayari kuagiza spear kutoka nje..
Nyingi nimeona zina cc 2000 ambayo ni normal. Nimeshaziona kama 2 huku nilipo naamini sio nyingi kivile. Asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom