1. Vipuri: Hii itakuwa ni changamoto kwa sababu hizi gari ni chache sana hapa Tz. Ukikosa kabisa uwe tayari kuagiza spear kutoka nje.
2. Mafuta: Inategemeana na ukubwa wa engine pamoja na uchakavu wa gari. Mengi yana cc kati ya 2000 mpk 2500 kwa hivyo ni affordable na economical. Hakuna tofauti kubwa sana na Noah.
3. Uimara: Magari ya Honda ni imara zaidi (body) huwezi linganisha na Toyota. Likewise, Mitsubishi pia ni imara kuliko Toyota.
Mwisho, Mkuu kamata tu hii gari ukiwa na uwezo wa kuipata.