HONDA VEZEL HYBRID

Mtu aliyepo Dar kuulizia upatikanaji wa spares kwa magari yaliyopo bongo tayari huwa sielewi.

Watu wapo mikoani tena wilayani kwa ndani na wanamiliki hayo magari.
 
Mtu aliyepo Dar kuulizia upatikanaji wa spares kwa magari yaliyopo bongo tayari huwa sielewi.

Watu wapo mikoani tena wilayani kwa ndani na wanamiliki hayo magari.
🤣🤣Anaulizia apate uhakika zaidi anaogopa kupark gari kusubiri kifaa kutoka ulaya
 
Iko poa sana aisee
Kaka kaka, Aisee nina 25m ila nimekata tamaa ya kupata gari nzuri ya juu. Naambiwa niandae 30m + angalau. Jana nimeongea na Mtu wa Jan International ndio kanipa hayo majibu. December ndio hii na nilipanga nivute ndinga. Unashauri gari gani kwa hiyo budget?
 
Haina shida kabisa 100% 100%

Zingatia service ya DCT (kila baada ya 40k Kilometers) na Actuator Fluid (Nayo 40k km), na engine oil, basi.

Vingine kujua kuitreat vizuri hybrid battery.
Fafanua namna ya kutreat vizuri battery ya hybrid
 
Iko poa sana aisee
Haina shida kabisa 100% 100%

Zingatia service ya DCT (kila baada ya 40k Kilometers) na Actuator Fluid (Nayo 40k km), na engine oil, basi.

Vingine kujua kuitreat vizuri hybrid battery.
hii DCT si ndio nasikia ni common problem ya hizi gari? Kwa experience yako hazisumbui watu bongo?
 
Serikali wamepandisha Sana Kodi kuanzia mwezi wa 6 , Kwa hiyo milion 25 nilagiza Subaru forester mwaka 2024 .
Magari yamepanda Sana bei hasa magari ya juu
 
Haina shida kabisa 100% 100%

Zingatia service ya DCT (kila baada ya 40k Kilometers) na Actuator Fluid (Nayo 40k km), na engine oil, basi.

Vingine kujua kuitreat vizuri hybrid battery.
Kati ya Vezzel Hybrid na Mitsubishi Outlander PHEV, Unaweza mshauri mtu achukue ipi kati ya hizi 2
 
Sasa nafanyaje kaka? nina hiyo budget nataka ya juu, au niongeze ngapi nichukue ipi?
Hapo hakuna namna zaidi ya kuongezea tena kiasi Fulani ili ununue gari ya ndoto yako, vinginevyo nunua used ilyotumika bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…