Honda wamezindua Electric Motorcycle mbili: EV Urban na EV Fun.

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wakali wa pikipiki kutoka Japan, Honda, wametuletea wadau wa pikipiki EV mbili, moja inaitwa EV Fun na nyingine EV Urban.

EV Urban itawahusu wale wapenzi wa scooter za kuzunguka nazo mjini au short trips, mfano kazini au shuleni au sokoni.

EV Fun ni kwa wapenzi wa sport bikes, kwa mara ya kwanza sasa Honda wametuletea Electric Sport Bike.
Ingawa ukubwa wa battery yake haujawekwa wazi, ila itakua na range zaidi ya Kilometa 100.
 
Bei
 
Hutu tudude twa umeme hatuna taste kabsa ...nlipiga kamoja short distance bike ipo kmy kama nyoka....sisi tumezoea chuma inatema moto mkali..
Raha ya bike uisikie mlio wake inavoimba.Asee hapo ndipo uchizi ulipo.
Sasa hivi vya kichina speed 40 halafu hakana kelele hakuna ladha kabisa.

Hivi mkuu hivi vya umeme kwenye mlima unaweza kumantain speed ile ile mfano labda napandisha kijazi hapo nikiwa na bike naivuta speed vibaya mno sasa sijajua kwa hivi vya umeme kakianza kupandisha kataenda speed same au? Mad Max
 
Hutu tuna batan yaan gia namba moko unagusa pale kwa 1 ukienda unagusa 2 au unaweza kugusa batan gia no3 soo kadude kanaazia speed kali hadi ratio ya gia no3 ndoo kanaishia hapo ....MM NAITIMISHA HUTU TWA WAKE ZETU..
 
EV fun imetulia, hiyo ndio ya kutembelea nayo mitaa
 
Haha zama zinabadilika, watu wanakata emission na sound
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…