Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 Jul 6, 2025 #1 Tushawahi kuongelea humu EV kutoka Honda ambayo ni sedan, iliopo katika series 0. Honda 0 Series Saloon: EV yenye muonekano wa ki-future! Hawa jamaa sasa wanaleta SUV yake. Ingawa taarifa za specifications, bei na upatikanaji hazijatolewa, ila ndio hii production type.
Tushawahi kuongelea humu EV kutoka Honda ambayo ni sedan, iliopo katika series 0. Honda 0 Series Saloon: EV yenye muonekano wa ki-future! Hawa jamaa sasa wanaleta SUV yake. Ingawa taarifa za specifications, bei na upatikanaji hazijatolewa, ila ndio hii production type.
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,521 Reaction score 46,663 Jul 7, 2025 #2 Hii ni hatchback au SUV
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 26,829 Reaction score 38,912 Jul 7, 2025 #3 Na itauzwa mamia ya mamilioni