Honest Advice: Its tough out there bro, dont do it, just dont..!

Mkuu Tindo Heshima kwako...

Naijua issue yako na Mbowe ni ya muda mrefu sana, ila msimpoteze Brother TL kwenye siasa kwa kudhani he can raise above his party leader, mbowe sio kiongozi wake tu, ila ni confidant wake...

Maadui wa Lissu ni wengi kama mchanga wa bahari, hizo za Mbowe atoke au asitoke ni juu ya Chadema.

Ushauri wangu kwa Lissu juu yake aamue kumuunga mkono rafiki yake Msigwa, aunde Chama chake au aungane na vilivyopo, uamuzi ni wake.....
Hilo la lugha nitakujibi siku nyingine.
 
Nasisitiza muda wa Mbowe kuwa mwenyekiti wa cdm umeshapita, na angekaa pembeni haya yasingetokea. Kwani Mbowe ana la ajabu lipi kwasasa kwa cdm hadi alazimishe kuwa mwenyekiti? Vitisho sio poa bro, akae pembeni maana ameshakaa sana.
 
Hili jambo nishawambia watu wakaona mi mbishi sana.

Kwa maneno ya TL tayari kabisa keshakata moto.
 
Umepita muda mrefu sana macho yangu kushuhudia uzi kama huu.Nitausoma tena kuelewa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…