Honest and Good Looking Single Man

Mildred

Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
91
Reaction score
16
Hallow to All

Hey guys am back again looking for honest and Good looking husband for my future life. am 37yrs old with two children. pliz if you are below 35 do'nt comment. nina kazi yangu pia ni mtu wa kufikiria future zaidi sio vinginevyo kama unaona una vigezo pliz you are wellcome.
 
37 yrs old...needs a husband for the future!!! Vipi kama na mimi nina watoto????
 
Fine ila uwe umeshawatengenezea future yao the way i did to mine.
 
Sasa wats the meaning of being a self proclaimed sugar mammy?!

Kwani wewe unavyo jiita prisoner una maana gani? naomba unielewe hivi jina sio tija soma heading ujue wat am looking for sio ID name.
 
Nina vigezo vyooooote kasoro kimoja tu ................umri
 
Humu ndani kuna watu kila kitu wanachukulia masikhara
 
Vigezo vyote ninavyo, ila nina mke, je uko tayari kuwa the second? Lakini pia utakuwa tayari kumheshimu my wife kama utakavyoniheshimu mimi? hii ni kutokana na kwamba she is the one who makes me look handsome, energetic with a good income, I am in my late 30s. Nipe majibu ili nipate muda wa kuwasiliana nae mapema juu ya hili kama yuko tayari pia!
 

thank you very much, lakini mimi napenda mtu anaheshimu mwenzake kama leo hii unataka kumsaliti your beloved wife je mimi si utanitenda zaindi. penda familia yako acha nitafute wakwangu, sitaki stress ila nataka raha na upendo
 
Hahaha? 37? How did u get the kids? Married or just ambushed? Be patient, he will come!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Baba watoto wako yuko wapi? asije leta vurugu humu.
 
Mungu akusaidie akupe wako atakaekupenda nawe umpende

sisi wengine tumeishapitiliza miaka tunaitafuta 60's
 
thank you very much, lakini mimi napenda mtu anaheshimu mwenzake kama leo hii unataka kumsaliti your beloved wife je mimi si utanitenda zaindi. penda familia yako acha nitafute wakwangu, sitaki stress ila nataka raha na upendo
<br>Lol, thubutu! Yaani nimsaliti my wife kisa nimekuona wewe hapa JF? Nimekuambia unipe majibu mapema ili niongee naye juu ya hili ili kupata ridhaa yake, hii ni kutaka kukusaidia wewe sugar mummy! Akikataa basi si ridhiki.... Kwani labda kati yako na ex wako, ni nani aliyeanza kumsaliti mwenzake mpaka leo umefikia hapa? Basi ukifanikiwa kumpata mwingine, uwe na ka utaratibu ka kumshirikisha mwenzi wako kila mara unapotaka kuanzisha mahusiano mapya ya kimapenzi nje ya ndoa! Hii itakusaidia usiwe na migongano ndani ya ndoa yako, lakini pia kupunguza uwezekano wa kuwa na watoto wengi wa mitaani kama si yatima kabisa kwani magonjwa ni mengi!<br>
<br>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…