simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Ntamtaarifu story nzima .. akikubali
Nachukua hizo fedha tunawapa
World Vision .. au SPCA ...
Halafu hatuachani ..
Mumeambiwa "honest" bana! sasa nyinyi mnaleta cheating ndani ya cheating. Wabongo ndivyo mlivyohapo hata kama unampenda vipi demu wako lazima uingie mtegoni na kama ni mie hapo tunacheza dili na mpenzi wangu then tutakutana baadae mbele ya safari tuendelee kula mpunga
Ungeweka basi kaugumu fulani kwenye swali, hapo mbona jibu liko so obvious?
Mi kwanza kwa vile sina mpenzi ningekubali.hebu taja jibu lako best.
Mi kwanza kwa vile sina mpenzi ningekubali.
Ningekua na mpenzi ningekubali vile vile,
ila ningejaribu maujanja ya kumkataa kwa muda,
nikisha pewa hela naendelea nae.
Kama hayo maujanja yangeshindikana ningemwacha natafuta mpenzi mpya.
If possible huyo huyo alie nipa M 5000. (if oppossite sex of course)
Wewe je? mbona hujasema?ahsante kwa kuwa honest. Kweli pesa inarun dunia.
Wewe je? mbona hujasema?
Kweli? Kwa nini sasa utakataa?mimi nitakataa taz.
Kweli? Kwa nini sasa utakataa?
Mbona mapenzi ni kitu so uncertain...
Unaweza kukataa leo na kesho ukajikuta humpendi.
Nimekuelewa, how lucky you are to be able to love like that!taz, kama nipo na mpenzi kipindi hicho na tuna migogoro isiyoisha jibu ni ndio nitakubali. Kama tupo kwenye wakati mzuri na ninampenda mpaka kumoyo basi thamani yake kwangu haiwezi kuwa replaced na kitu chochote.
Nimekuelewa, how lucky you are to be able to love like that!
Kwangu mimi hata tukiwa at the pic of our relation and love
bado kuna vitu ambavyo vina kuja before that particular feeling
na hizo pesa wametaja hapo zinaweza kunisaidia kufulfil most of them
So nitaondoka moyo unauma but nitaondoka...
As I said, later naweza kumtafuta tena ili tusaidiane (if possible)
Unajua maisha sio mapenzi tu. Imagine tupendane halafu kila siku nakosa rahakama mimi ni mpenzi wako ukinitafuta tena sitokubali maana najua ikitokea ofa nyingine utanikimbia. Umeshafikiria faida utayopata kwa kukataa na hasara utakayopata kwa kukubali?