Honest replies please!


are you sure those money will give u happyness? Kwanini tusitafute zetu. Kumbuka hizo pesa zinaweza zisije na condition hiyo tu. What if ukapewa masharti mengine zaidi. Malengo yatatimiaje hapo?
 
Reactions: Taz
are you sure those money will give u happyness? Kwanini tusitafute zetu. Kumbuka hizo pesa zinaweza zisije na condition hiyo tu. What if ukapewa masharti mengine zaidi. Malengo yatatimiaje hapo?
Sisemi kua pesa zitanipa happiness,
but zitanisaidia sana katika kutimisa lengo zangu zingine
ambazo naamini ndizo zitakazo niletea furaha.
Naona kukubali hizi ni a quick advancement katika lengo langu
coz hizi ni za uhakika, hizo za kujitafutia wenyewe bado ni hypothetical.
Halafu hapa tunaamini kwamba hakuna sharti lingine zaidi ya kumwacha mpenzi wako.
So my honest answer is still a (sorrowful) yes.
 

mmh! Haya kaka.
 
Reactions: Taz
taz, kama nipo na mpenzi kipindi hicho na tuna migogoro isiyoisha jibu ni ndio nitakubali. Kama tupo kwenye wakati mzuri na ninampenda mpaka kumoyo basi thamani yake kwangu haiwezi kuwa replaced na kitu chochote.
Dah! skuona hii.
Lucky him
 
Reactions: Taz
yaani sicheleweshi, nachukua fastafasta...halafu nitakuwa namla mpenzi wangu kisirisiri...namzalisha etc na baadaye tunarudiana tu...kwani nini bwana. ...alaa
 
Dah! skuona hii.
Lucky him
Nilitaka kusema hivo hivo ila nikaona maybe he doesn't even know how lucky he is...
Nikamwambia tu Husninyo Lucky her to be able to love so strongly, with no doubt.
Yani anauhakika na the strength of her love kuliko hata uhakika wa 5,000M kuongeza happiness,
Ain't that something?
 

dah! I wish....nway, ngoja niishie hapo.
 
Reactions: Taz
Ni jinsi gani inavyoonekana watu hawana mapenzi ya kweli kwa wenza wao. Mungu okoa hichi kizazi.
 
Yethu na Maria..ni iyo ela naipokea fasta babangu..uwiii ntamgawia na uyo nae,najua atapokea tuuu kiishe
 

mmmh mpenzi wako kalamba garasa!
 
daaah hapa aiseeee!

Haya wale wenzangu wa kule Mungu Onyesha Sasa Hela Ilipo (MOSHI) mpooo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…