Honeymoon imeisha, ukiona wanaanza kwenda Misikitini na Camera!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Globalist wanataka matokeo sasa, fungate imeisha, mara nyingi wakianza kubanwa huwa wanaanza kurudi na kutafuta huruma, muda umewadia kunakaribia kukucha, nwo hana rafiki wa kudumu bali maslahi tu,


 
Jana hujaona watu wapo msikitini na kameras kana kwamba ndani ya mwaka mzima wa uongozi jana ndio mara ya kwanza kwenda msikitini..
Yeye na mwenzake walikuwa kitu kimoja, ila yeye ndio kachelewa kwenda na kamera madhabahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…