jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Kwa roho na moyo wa dhati nampongeza waziri huyu wa zamani wa TAMISEMI na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora.
nimewahi kumshuhudia akiwa mkuu wa wilaya ya Arusha(Kwa sasa ndio jiji la Arusha)
aliacha alama ya miti mingi ya kivuli inayoifanya Arusha ya leo kuwa green na yenye kivuli.
Nimesikia amefanya haya Tabora...Mungu amlipe mema.
Pia namtambua kama mentor muhimu wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi kijana mchapa kazi Jaffo...nyendo za kusimamia ujenzi bora wa majengo ya Serikali haswa shule na vituo vya afya ziliwekewa milestone na Aggrey Mwanri...hili alilionesha tena akiwa Tabora..kwa kuwaweka kati mainjinia na wakandarasi...he built a culture ya usimamizi he also managed to greenfy Tanzania.
Pia aliweza kujenga hospitali ya mfano pale SIHA
Mungu amuongoze kwa hatua anayoelekea.