Enyampisakiniga
Member
- Jun 13, 2022
- 8
- 9
Nianze kwa kumpongeza Bw. mdogo (Ali Kamwe) kwa kazi nzuri ya uchambuzi wa soka hasa ligi ya ndani ambayo amakekuwa akiifanya kwa usanifu wa hali ya juu kupitia kituo cha AZAM TV. Pamoja na umri wake kuwa mdogo, Bw mdogo ameonyesha sio tu ukomavu mkubwa wa akili anapochambua soka letu bali pia ana kipaji/akili nyingi za kuangalia soka na kulichambua kkwa usahihi ndani ya mda mfupi tofauti na wachambuzi wa soka hapa nchini.
Tukiachia hilo , hivi karibuni wakati ligi kuu ya Soka ya NBC inaelekea ukingoni alinzisha kampeni ya waandishi wa habari za michezo kumchangia Mchezaji wa GEITA GOLD (Geogre Mpole) endapo angeibuka mfungaji bora wa ligi kuu. Na kwa kwenda mbali zaidi alianisha sababu za msingi kwa nini alidhamiria kufanya hivyo. Chache ninazozikumbuka:
1: Atakuwa ni mojawapo ya wachezaji wachache wazawa na wanaocheza nje ya Simba na Yanga kufanya hivyo hivi Karibuni.
2. Motisha kwa wachezaji wetu wazawa ambao wamekuwa wanaonekana si mali kitu linapokuja swala kusaka washambuliaji bora wa ligi yetu.
3. N.k
Mungu si athumani, hatimaye kama alivyodhamiria dogo ikatokea hivyo, G.Mpole kaibuka mfugaji bora. Jambo la kusikitisha kuna baadhi ya watu (majambazi wa soka letu) wakawa wamelichukulia swala hili kiushabiki huku wengine wakijaribu kutafuta legitimacy ya kutaka kuonekana wema kwenye vilabu vyao (kwa kuwatetetea wachezaji wao wenye majina makubwa) huku tukielewa malengo yao maovu. Wakachukullia hili swala kwa njia hasi na kupunguza motisha uchangiaji.
USHAURI WANGU KWA ALI KAMWE:"Achana na hao maharamia wa soka. Songa mbele tena ifanye hii kampeni ya kumchangia G. mpole iwe ya kitaifa utaugwa mkono na kila mtu.Ukiacha utaaribu kila kitu na kuuwa ile dhima yako nzuri mbayo watu wachache tu wanaona mbali walikuelewa ulikuwa unataka nini na hili wazo lako.