PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Kivipi yani?Kwa style hii hz tm mbili haztaisha
Kutoa vizuri Sana'a ila mazingira na kiasi kilichotolewa kinaonesha ushindani wa hawa jamaaa upo mbali na music kesho diamond toa 500mil kesho kutwa Kiba toa 550mil [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] #wanalipa fadhilaKivipi yani?
Ni vibaya kutoa msaada?
Yani mtu akitoa msaada kiasi Fulani mnaamini anashindana na mwenzake?Kutoa vizuri Sana'a ila mazingira na kiasi kilichotolewa kinaonesha ushindani wa hawa jamaaa upo mbali na music kesho diamond toa 500mil kesho kutwa Kiba toa 550mil [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] #wanalipa fadhila
Acheni ushamba nyie.Huyu jamaaaa mswaz hatar..alikuwa wap siku zote mpka asikie mwenzake katoa nayy ndo katumwa apeleke ili aonekane katoa...anatbelea nyota ya mondi...hahahha
Alikuwa wapi sikuzote? Na uliwah muona lini na wap akitoa?Acheni ushamba nyie.
Kwa hiyo mmoja wapo akitoa msaada, mwingine hapaswi kutoa?
Kuna watu vigodoro vimewaharibu kabisaAlikuwa wapi sikuzote? Na uliwah muona lini na wap akitoa? Firigisi mbichi wewe
Hahahaha!! Alieanza kaanza bhana! Hata kama angetoa mia bado hata mpita the founderDiamond alitoa ngapi vile? Naona ligi inaendelea kwa style nyingine..
Na nyie na viteam uchwara vyenu hv.. Kwahiyo mnataka kiba asitoe? Kisa unayempenda katoa.. kha.. Acheni ushabiki maandazi banaAlikuwa wapi sikuzote? Na uliwah muona lini na wap akitoa? Firigisi mbichi wewe