Hongera Ali kiba kwa kuwaunga mkono Gsm foundationtz!

Oyooooooo that's my Ali Kiba.
Nani kasema Kiba hana pesa?
Afadhali umewafunga midomo,kelele zilikuwa nyingi.

Ila nikujuavyo...hunaga makuu.
Naamini umetoa kwa moyo mkunjufu kabisa,na sio mashindano.
Ubarikiwe.
Si kutegemeaa na wewe ungeruka kwa Furaha hizi najua ni ugeni wa Mambo haya kwenu! Ila sisi tushazoea Madawati 600,msikiti,wasanii rayvanny,harmonize! Na mengine Mengi

Hongera Ali Kiba kwa Moyo huo!!!
 
Acha uongo! Mond alipost check akionesha akimkabidhi kiasi kilikuwa hakionekani na hakuandika sh.ngapi wao GSM ndo waliandaaa Leta picha hapa tuone hiyo risiti unayo sema wewe Mond alipost ikionesha Risiti! Acha kusema Mond anapenda Sifa
 
Umesahau 7 annoucements?,hivyo vituo ndo unajisifu kuwa kafika kimataifaaa hadi Vanessa mdee yuko huko,John makini yuko huko! Wakati mond yupo BBC na BET!, Alikuwa wa kwanza kufika kimataifa kwa wimbo upi One 8 au? Ambayo unapelekewa msanii au?, kiba hashangili tuzo eti? Mondi ana chumba cha tuzo tuuu! Ficha ujinga wako wewe

Kama ulikuwa hujui idadi ya pair ya viatu vya alikiba ni sawa na idadi ya Tuzo za Diamond Za kimataifa!
 
Hivi Alikiba zile Millioni 32 alizo Iba sijui kadhurumu amerudisha au ndo hizo anachangia?
 
Facts... Niko London hapa ninafuatilia bbc Playlist na nimeona ule wimbo wa Kidogo wa Chibu.. very impressive
 
Acha uongo! Mond alipost check akionesha akimkabidhi kiasi kilikuwa hakionekani na hakuandika sh.ngapi wao GSM ndo waliandaaa Leta picha hapa tuone hiyo risiti unayo sema wewe Mond alipost ikionesha Risiti! Acha kusema Mond anapenda Sifa
Hata Kama hajapost kiasi lakini reality domo anapenda sifa Sana kila anachofanya anaweka wazi
 
Alikuwa wapi sikuzote? Na uliwah muona lini na wap akitoa?
Acha kukariri siyo lazma kutoa msaada ujionyeshe kwenye media, ulisha wahi kumwona Mzee wa Azam akiuza sura kwenye media akitoa misaada? japo ndiyo anaeogoza kwa kutoa misaada!
 
Acha kukariri siyo lazma kutoa msaada ujionyeshe kwenye media, ulisha wahi kumwona Mzee wa Azam akiuza sura kwenye media akitoa misaada? japo ndiyo anaeogoza kwa kutoa misaada anatoa!
Ww jambaz nkikuona tu nakunyanganya silaha
 
Hivi Alikiba zile Millioni 32 alizo Iba sijui kadhurumu amerudisha au ndo hizo anachangia?
Kaiba wap andika vitu vyenye uwakika hapa sio uwanja wa udaku wa kijinga tuletee ushahidi wa ulichokiandika usiwe unachafua watu,wanaume wa dar acheni kutuandikia vitu msivyo na uwakika navyo!
 
Usishangae mkuu, binadamu ndivyo tulivyo. Ukiwa mshabiki wa mtu kupita kiasi unakuwa mjinga. Alikiba katoa msaada kwa mapenzi yake yeye na wala si ushindani. Kutangulia kwa Domo kutoa si kigezo cha kumzui Kiba kutoa pia.
Na wewe umeamua kuonesha UJINGA wako unaosabaishwa na USHABIKI wa kike...
DOMO ndio nani..!?
 
Hapo usikute hizo hela hazijatoka mifukoni mwa hao wasanii ila kwa kua GSM Foundation wanataka tengeneza brand itambulike zaidi wamewapa mpunga hao jamaa na wajifanye kama ndo wao wamechangia kwenye foundation

GSM walitafuna huu uchumi kipindi cha JK left snd right bila huruma...waliigeuza bandari kama kampuni yao binafsi...kontena zoote magufuli alizishika hawa ndio wahusika

Waliharibu uchumi kwa kukwepa kodi tangu 2000 hadi 2015..,hadi wakamwagiwa tindikali machoni

Sasa hiv wapo kny project ya kujisafisha,wanatumia wasanii na mastaa,kujenga PR

Ila hawa jamaa ni hatari...magufuli awadhibiti....ukwepaji kodi wa bil50 kwa mwaka kwa miaka 15 is no joke!
 
Ukiambiwa ulete ushahidi kuwa walikwepa kodi 2005 hadi 2015 utaanza kutumbua mimacho hapa!
 
Ukiambiwa ulete ushahidi kuwa walikwepa kodi 2005 hadi 2015 utaanza kutumbua mimacho hapa!

Ushahidi upo...naweza kupa link ya authoritative credible newspaper in Tanzania waliprofile wakati Mohamed Ghalib alipomwagiwa tindikali akaenda SA kwa matibabu...

Tatizo upo shallow sana,hujui lolote...Jibu swali,kwanini HSC ilikua dissolved?Toa sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…