abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Team Kiba wote leo imekuwa siku yetu nzuri Baada ya Msanii wetu pendwa Ali Salehe Kiba kutunukiwa zawadi na Rais wetu Mpendwa Dkt. John Joseph Magufuli.
Mimi kama kijana na Mpenzi wa Muziki wa Alikiba Nasema hivi asante Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuonyesha Mapenzi kwa kijana wako na kwa hili jambo Nakuahidi kura yangu ikiwa kama malipo kwako.
Hongera Rais John