abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa moyo huo mtu akija msaidia mkeo utamwambia aliyemsaidia mkeo ambebe jumla
Sio team Vanessa Tena?Japo ni mie team kiba. Ila sioni cha kupongeza kwa kupewa kofia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kofia itamsaidia nini bibi yako anayetumia kibatari?
Vanessa mdee na kiba ni tofauti, hata wee unaweza kuwa team domo pia ukawa team nandy. Upooo?Sio team Vanessa Tena?
Hizo kofia watapewa wote mpka madancer waoTeam Kiba wote leo imekuwa siku yetu nzuri Baada ya Msanii wetu pendwa Ali Salehe Kiba kutunukiwa zawadi na Rais wetu Mpendwa Dkt. John Joseph Magufuli.
Mimi kama kijana na Mpenzi wa Muziki wa Alikiba Nasema hivi asante Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuonyesha Mapenzi kwa kijana wako na kwa hili jambo Nakuahidi kura yangu ikiwa kama malipo kwako.
Hongera Rais John
Tanzania Hamna mazwzwa kama nyumbu wa chadema wao kama Masai wanaamin ngombe wote ni wa kwao [emoji849][emoji849][emoji849] chadema penden mambo yenu kivyenu na sis tupende vyetu kimpango wetu
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Kama unampa kura kisa wasanii wameenda kukata viuno na wala siyo kwa sababu ya mambo ya sera zake basi wewe ni mbumbumbu!Kwa sababu ya kukusanya wasanii Leo kajipatia kura yangu [emoji867] Sasa nyie endeleen na matusi yenu
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Anza na mtoa mada tafadhaliTanzania ni nchi ya mazwazwa sana, yaani kuna baadhi ya watanzania wenzangu natamanigi niwatandike makofi