GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hakika Siku zote Wakatoliki ndiyo huwa tunaanza kwa Kuonyesha njia na wengine Wanaiga.
Leo kama Kawaida nikiwa Ibadani Morogoro katika Kanisa langu Kuu la Katoliki la Mtakatifu Patrick ( Patrice ) nimeweza kufurahishwa tena na aina ya Ubunifu na Utaratibu wa Kiimani na Kiibada.
Ni kwamba mara baada ya Kumalizika kwa Shughuli zote za Ibada na Askofu Mstaafu Mkude akisubiriwa kuja Kufunga / Kumaliza rasmi Ibada yetu ya Leo alifanya Jambo jema, jipya na la Kizalendo kabisa kama Wewe ni Mtanzania halisi na Uliyetukuka kama Mimi GENTAMYCINE.
Ni kwamba Baba Askofu Mstaafu Mkude alitutaka Waumini wote tumalize Ibada yetu ya Kwanza leo Asubuhi ( Misa ya Kwanza ) kwa Kuimba Wimbo wa Taifa ambapo Kanisa zima tulizizima kwa Furaha na Kuuimba Wimbo wote wa Taifa kwa Kumshukuru Mwenyezi Mungu na Kuiombea na Tanzania yetu Jambo ambalo lilitufanya tuuvae kabisa Uzalendo wa Kweli japo tulikuwa Ibadani.
Asante Baba Askofu Mstaafu Mkude na Asante Mwenyezi Mungu kwa Ibada nzuri ya Leo katika Kanisa lako Takatifu la Mtakatifu Patrick ( Patrice ) Jimbo Kuu la Morogoro na nina uhakika kuwa Wote tuliokuwepo Ibadani na Wakatoliki wote tumebarikiwa na kama Kawaida yetu Wakatoliki wote Tanzania na Duniani tutaendelea tu Kubarikiwa na kuwa ndiyo Vinara wa Imani kwa Wakristo wote duniani.
Ninachopendea Kanisa langu zuri na Takatifu la Katoliki ukiingia hakuna mikelele na wala ukitoka pia husikii mikelele na Ibada nzima inaendeshwa Kisomi na Kiitifaki zaidi huku Ukimya na Nidhamu ndani ya Kanisa na Ibada ukitawala muda Wote.
I'm so proud to be a Roman Catholic!!!!