Hongera ayoub kondo,mwandishi wa jambo na vijambo commedy ya eatv.

Hongera ayoub kondo,mwandishi wa jambo na vijambo commedy ya eatv.

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Huyu mwandishi wa jambo na vijambo comedy ya EATV amefanya kazi kubwa sana kuandaa comedy ya namna hii.

Hii ni comedy yenye ubunifu mkubwa sana kama mtu akijaribu kufatilia. Tofauti na commedy tulio zizoea zikionesha mambo yale yale kila leo.

Kwanza muongoza wa hii comedy amefanikiwa kutenga muda vizuri kwa kila kipengele kiasi kwamba mtazamaji hawezi kuchoka kuangalia.

Pili,Muongozaji wa hii comedy ameweza kuwapanga vyema washiriki vyema kiasi kwamba mtazamaji anaona umuhimu wa kila mtu kwenye hii commedy tofauti na commedy zingine.


Tatu, uhalisia wa maisha ya watanzania na mambo yanayo ongelewa kwenye hii commedy, kwakweli nothing is parfect lakini muongozaji na mwandishi wa hii commedy wamejaribu kutengeneza mada zenye uhalisia na hali na tabia za watanzania na kumuacha kila mtazamaji anafurahi kutazama.



KUNA BAADHI YA COMMEDY MTU UKIANGALIA HUWEZI KUTAZAMA MARA MBILI MAANA MUDA MWINGINE BAADA YA KUFURAI UNAKERWA NA KUCHUKIZWA.

KWAKWELI HII COMMEDY IMETENGENEZWA KWA UBUNIFU.

KUNA BAADHI YA WASHIRI WANANIFANYA NI ZIDI KUIPENDA.
MFANO
1.CHAUROHO
2.KAZORA



MWANDISHI NA MWONGOZAJI WAMEFANIKIWA KUTUMIA CHAKULA VYEMA KUFANYA COMMEDY TOFAUTI NA COMMEDY NYINGINE ZA CHAKULA AMBAZO UKERA NA KUUDHI WATAZAMJI.

××××××××××××××××××××××
HONGERA SANA AYOUB KONDO NA TAKURA MAURANYA.

HII NI MMOJA YA COMMEDY AMBAYO HAICHOSHI KUANGALIA.
 
mkuu ni kweli kabisa kwa haya uyasemayo kuhusu komedia hii. ni mzuri sana kwa kweli. me navutiwa na waigizaji wake wote hususani yule mwenye misemo na mithali kama YESU (yule mshiriki anayevaa kanzu na kujitanda)
 
mkuu ni kweli kabisa kwa haya uyasemayo kuhusu komedia hii. ni mzuri sana kwa kweli. me navutiwa na waigizaji wake wote hususani yule mwenye misemo na mithali kama YESU (yule mshiriki anayevaa kanzu na kujitanda)

yaaah hawa jamaa wamejipanga me yule kazora ndio ananiacha hoi sana. jamaa ni wabunifu sana.
 
Back
Top Bottom