Hongera Azam FC, lakini...

Yanga fanyeni usajili achaneni na habari za simba. Ili muwe bora lazima mfanye usajili wa maana hizo habari mara mliifunga simba mara nyingi hazina maana kama ushindi wenu hausaiidii kuchukua ubingwa
 
ni vyema umeweka wazi umeshikiwa akili zako na kina Shafii
 
Hasa Aston Villa iliifunga Liverpool je Aston ni timu bora?
 
Timu ina mashabiki 10..!
Tena ni wauza ice cream na madereva wa malori ya matunda.
 
Simba kakutana mara mbili na Al ahly, moja kashinda moja kafungwa, idadi ya magoli ni sawa, so kwa mfano wako ni sawa na kusema simba iko level sawa na Ahly! Seriously?
Yeah kwa vikosi hivyo viwili vipo level moja.
 
Yanga fanyeni usajili achaneni na habari za simba. Ili muwe bora lazima mfanye usajili wa maana hizo habari mara mliifunga simba mara nyingi hazina maana kama ushindi wenu hausaiidii kuchukua ubingwa
Tufanye usajili kwa lengo gani?
 
Tena watafute na msemaji/mhamasishaji machachari ikiwezekana wampe Manara nawahakikishia wataanza kupata mashabiki
 
Azam FC haina mashabiki, soka ni mchezo unaotawaliwa na mashabiki.
Mkuu mashabiki wanatokana na mambo mawili ambayo ni kurithi/kushawishiwa/kuvutwa na jamaa au ubora/tukio fulani.

Azam wakiwa na matokeo mazuri mfululizo, wawe wanabeba makombe, wanazifunga Simba na Yanga na kutoa ushindani wa nguvu nakuhakikishia ndani ya miaka 10 ijayo watakuwa na mashabiki hasa vijana wadogo wanaokuwa.

Timu kama Man City miaka ya 2000 haikuwa na mashabiki Tanzania lakini kutokana na matokeo hivi sasa nadhani jibu unalo mwenyewe
 
Nilitegemea Azam iwe timu ya kukuza vipaji na kuleta ushindani km Arsenal fc sio kununua wachezaji wakubwa bila mafanikio yoyote.
 
Wametimiza miaka 10 tayari kwenye Ligi. Ndio kwanza Wana Kikundi cha Ngoma.
 
Vipi prisons?...
 
Wewe ubora wa timu unaupimaje?..
 
azam ana usimba sana, kitu kinacho mfanya ashindwe kusimama yeye kama yeye [hajui anataka nini ligi kuu, zaidi ya kumkania yanga hana lolote la maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…