Hongera Azam kwa ushindi wa 3-1

Hongera Azam kwa ushindi wa 3-1

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Nimeshuudia burudani ya mpira Leo yaani Azam wamefanya hii timu ionekane ya kawaida ila walikuwa na uwezo wa kushinda hata goal 6 ila hawakuwa makini kwenye finish ingawa pia kipa wa hiyo team alifanya saves za hatari.nawatakia kila la heri Azam katika next game na zesco.
 
Wanacheza na zesco?
 
This is Simba
IMG-20190825-WA0010.jpg
IMG-20190825-WA0009.jpg
 
Azam Fc walipiga Mashuti 21, yaliolenga goli yalikuwa 12 na kupata Magoli Ma3! Hii maanake walikuwa na safu bora ya Usambuliaji japo scoring ratio sio bora kivile!
 
Back
Top Bottom