Wanacheza na zesco?Nimeshuudia burudani ya mpira Leo yaani Azam wamefanya hii timu ionekane ya kawaida ila walikuwa na uwezo wa kushinda hata goal 6 ila hawakuwa makini kwenye finish ingawa pia kipa wa hiyo team alifanya saves za hatari.nawatakia kila la heri Azam katika next game na zesco.
Wataocheza na Zesco ni Yanga. Lwandamina vs Zahera.Wanacheza na zesco?
Kama kawaMashabiki wa Azam mlipewa ice cream za ukwaju getini kama mlivyohaidiwa??