Bashir Yakub
Member
- May 27, 2013
- 96
- 1,745
HONGERA NCHIMBI RAIS AJAYE 2030.
Bashir Yakub, WAKILI
Asubuhi ya leo baada ya tafakuri ya usiku mzima wajumbe ndio sasa wanajua kuwa ule mkutano wala haukulenga kumpata makamu mwenyekiti Wassira, bali Makamu wa rais Nchimbi na kumpitisha Samia kwa ajili ya kipindi kingine.
Kwa sayansi hii maana yake mitandao ya mwaka huu 2025 imekufa, kadhalika mitandao ya 2030 baada ya mama nayo imekufa kwasababu hamna cha kushindania tena.
Sayansi hii imeua mitandao ndani ya chama kwa miaka15 ijayo. Miaka 5 ya umakamu wa Nchimbi ni maandalizi ya kumpokea mama 2030.
Nchimbi hawezi kufanya ajizi miaka 5 yake ya umakamu. Urais anautaka lazima asimike mizizi na ampokee mama, hili ni Obvious.
Siasa imebaki Zanzibar na imekufa bara kwa miaka 15 ijayo ndani ya ccm. Nani atakuwa makamu wa Nchimbi 2030 ndio siasa iliyobaki Zanzibar.
Nanyetishwa na mnyetishaji toka Idodomya kuwa baadhi ya Mawaziri na viongozi waandamizi ndani ya chama wamehaha usiku mzima wa jana. Hasa huyo wa TOZO na lile kundi jingine la vijana wa makamu mwenyekiti aliyestaafu.
Hawaamini kama ndoto zao za 2030 baada ya mama zinazimika katika usiku mmoja na bila hata kuvuja jasho. Ni wazi walishajipanga kwa mengi.
Ndo hivyo wamsubiri Nchimbi amalize 2040 kama watakuwa hawajazeeka🤓.
Kazi ya Nchimbi ni moja tu, ni kuwa Loyal kwa mama kama alivyocheza karata yake katika nafasi ya ukatibu mkuu na kuukwaa umakamu ili mama asiwe na mgombea wake hiyo 2030.
Hilo la Mzee Mpango kuwa ameandika barua kujiuzulu Umakamu tuwaachie wao wasije sema tunaleta uchochezi.
Aliyeleta huu mpango nasikia kiwango chake cha elimu ni Certificate Diploma Degree Phd in FITNAOLOGY. Daah, ila sijui kama ataiona mbingu🤓.
Siku nyingine mkiambiwa Wanawake WANAWEZA muwe mnaelewa.