Baraza la Wanawake CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Halima Mdee sauti ya zege, limeweza kuhamasisha wanawake vijana wengi kugombea majimboni.
Taarifa zinasema zaidi ya wanawake 60 wameteuliwa kugombea kwenye majimbo huku CCM ikiweka wanawake 12 tu majority wanangojea viti maalumu, Hongera Ummy Mwalimu hongera Tulia Ackson.
Hawa ni baadhi tu ya wagombea ubunge wanawake kupitia Chadema, tuwape ushirikiano ili kupunguza kama si kuondoa mifumo dume kwenye taasisi zetu.
TUPIA PICHA YA MGOMBEA MWANAMKE ANAYEWAKILSHA JIMBO