Hongera BAWACHA kwa kuhamasisha wanawake wengi kugombea majimboni, UWT wajifunze kwenu

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Baraza la Wanawake CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Halima Mdee sauti ya zege, limeweza kuhamasisha wanawake vijana wengi kugombea majimboni.

Taarifa zinasema zaidi ya wanawake 60 wameteuliwa kugombea kwenye majimbo huku CCM ikiweka wanawake 12 tu majority wanangojea viti maalumu, Hongera Ummy Mwalimu hongera Tulia Ackson.

Hawa ni baadhi tu ya wagombea ubunge wanawake kupitia Chadema, tuwape ushirikiano ili kupunguza kama si kuondoa mifumo dume kwenye taasisi zetu.

TUPIA PICHA YA MGOMBEA MWANAMKE ANAYEWAKILSHA JIMBO



 
Ila wanawake wa Chadema hawaakisi maadili ya kutanzania,
 
Inaonyesha ni jinsi gani walivyo nakiu ya Uhuru,haki na maendeleo ya kweli.
 
Umetaja idadi ya wagombea wa CCM, taja na hiyo ya CDM ili tufanye comparison.
 
Chadema wanahitaji pongezi za hali ya juu kwa kuwapa fursa Wanawake
 
Umetaja idadi ya wagombea wa CCM, taja na hiyo ya CDM ili tufanye comparison.
So far ni 70+ ni rekodi tokea uhuru wa nchi hii. Dar pekee 60% ya majimbo ni wanawake.

Hta waliokimbilia CCM wanaume pekee ila wanawake hadi viti maalum 90% wamekua loyal mpka leo hawajakimbia mapambano.

Ni mfano wa kuigwa kwakweli. From a neutral point of view
 
Well done Chadema women, you can vanquish.
 
Duh!
 
Wanawake wanadharauliwa sana na CCM kazi yao ni kuongeza vichwa tu
Na kuulizwa kama wana maji au ni wakavu
WakatI mwingi tunajiaminisha mambo au sifa bila tafakari ya kutosha.

Sifa na uwezo ( qualities and capacity) wa kugombea majimbo ya CCM ni mkubwa sana, kama Chadema tungekuwa na matakwa hayo sidhani hata wagombea 10 wa Ubunge wanawake wangepatikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…