Hongera Benjamin Mkapa Foundation, mmeimarisha sekta ya afya nchi nzima, Nyerere Foundation Mzee Butiku yeye ni vijembe tu na chuki

Hongera Benjamin Mkapa Foundation, mmeimarisha sekta ya afya nchi nzima, Nyerere Foundation Mzee Butiku yeye ni vijembe tu na chuki

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nadhani Nyerere Foundation ina cha kujifunza kwa Benjamin Mkapa Foundation. Nyerere Foundation ilitarajiwa iwe ndio kioo cha Foundation za viongozi kwa kutatua matatizo na ku-shape sera za nchi.

Badala yake, Mwalimu Nyerere Foundation imekufa, walioiua, ili waonyeshe bado inapiga chafya, haijafa, huwa wanatoka hdharani, wanatukana uongozi wa nchi, halafu wanarudi kulala.

Ni nani CEO wa Mwalimu Nyerere Foundation? Nani Mwenyekiti wa Bodi yake? Mzee Butiku ana nguvu za kuisimamia sawasawa, au kaigeuza taasisi ya ukoo kwa ajili ya mashauriano ya mambo ya wazanaki na kupokea maono kutoka kwenye mawe ya pale zanaki pamoja na nyani za mizimu?

Nini kinaikumba Mwalimu Nyerere Foundation? China au Urusi wakiambiwa watoe scholarship kwa jina la Nyerere ni haraka tu, kwa nini hii taasisi haifiki huko?
 
Back
Top Bottom