amadala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,265
- 12,268
Hongereni Bill Nass na Nandy kwa kufanya maamuzi mazuri, ndoa yenu ikawe ya heri na baraka.
Hongereni tena kwa kuwa mfano kwa wasanii wenzenu kuwa inawezekana mkinia jambo lenu.
Hakika mnatoka kwenye familia zenye misingi ya malezi ndio maana leo mmekula kiapo. Kongolee once again ๐