Hongera Bill Nass na Nandy kwa kufunga ndoa

amadala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
4,265
Reaction score
12,268
Hongereni Bill Nass na Nandy kwa kufanya maamuzi mazuri, ndoa yenu ikawe ya heri na baraka.

Hongereni tena kwa kuwa mfano kwa wasanii wenzenu kuwa inawezekana mkinia jambo lenu.

Hakika mnatoka kwenye familia zenye misingi ya malezi ndio maana leo mmekula kiapo. Kongolee once again πŸ’‹
Your browser is not able to display this video.
 
Nandi ndio anaoa.
 

Wale wanao kula nauli wacha waendelee kula nauli
 
Mwenye ile connection ya billnass na nandy katika mchupi wa ilala naomba pm
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜€
Utaharibu Shughuli Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…