Hongera Blandina "Johari" Chagula kwa kushinda tuzo nchini Nigeria

Hongera Blandina "Johari" Chagula kwa kushinda tuzo nchini Nigeria

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
150
Reaction score
173
USHINDI WA JOHARI.

Muigizaji wa BongoMovie "Johari Chagula" ameshinda Tuzo 2 kwenye Tuzo za 'Music Video Awards 2024' (MVA Awards 2024) zilizofanyika nchini Nigeria usiku wa kuamkia leo.

Tuzo hizo ni;
I. Best Actress of the Year
2. Best Series of the Year 'Wimbi Series'

Hongera kwa "Johari" kuiwakilisha Tasnia ya Filamu Tanzania....

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202

1726454019822.jpg
 
View attachment 3097014
Anaitwa Blandina Chagula, stage name ndio 'Johari'. Haitwi Johari Chagula.

Ni mwigizaji mzuri yeye na wengine kina Jennifer Kyaka. Hiki kizazi kikiisha tutabaki na warembo wengi waliogeukia uigizaji kisa sura na makalio. Na tutabaki na waigizaji wengi maji ya kunde, au waliojichubua, au shombeshombe.
Bahati mbaya bongo hatuthamini vipaji na pioneers, na waliofanya kazi katika mazingira magumu hawathaminiki utasikia raia wanasema "Mr. Nice alitumia hela vibaya wakati wake umeisha".

Wakati kule duniani mtu kama Tyson alitumia vibaya fedha basi anapewa angalau roles aigize. Mashabiki na media hawamtupi.
 
Kongole Sana kwake.Alioshindana nao ni Kina nani? maana Hata tbc redio ya uma sijawasikia wakielezea.
 
Huyu dada alikataa kuolewa na mwanaume mwenye kibunda kisa ni Ray ambae nae alikuja akamuacha. Sasa hivi anahangaika tu na maisha
 
Back
Top Bottom