ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
Anaitwa Blandina Chagula, stage name ndio 'Johari'. Haitwi Johari Chagula.USHINDI WA JOHARI.
Muigizaji wa BongoMovie "Johari Chagula" ameshinda Tuzo 2 kwenye Tuzo za 'Music Video Awards 2024' (MVA Awards 2024) zilizofanyika nchini Nigeria usiku wa kuamkia leo.
Tuzo hizo ni;
I. Best Actress of the Year
2. Best Series of the Year 'Wimbi Series'
Hongera kwa "Johari" kuiwakilisha Tasnia ya Filamu Tanzania....
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
View attachment 3097014
Hapana yangu mimi mr ukwaju wa kitamboHiyo namba ya simu ni ya Johari?
π π π Anahangaika tena ??Huyu dada alikataa kuolewa na mwanaume mwenye kibunda kisa ni Ray ambae nae alikuja akamuacha. Sasa hivi anahangaika tu na maisha
anahangaika..kwa muda ambao amekuwa kwenye sanaaa bado anapanga chumba na sebuleπ π π Anahangaika tena ??
Acha bhasiiiianahangaika..kwa muda ambao amekuwa kwenye sanaaa bado anapanga chumba na sebule
Macdonald the bossHuyu dada alikataa kuolewa na mwanaume mwenye kibunda kisa ni Ray ambae nae alikuja akamuacha. Sasa hivi anahangaika tu na maisha