Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wasalaam.
Wanajamvi bila shaka bado wengi wetu tuna likumbuka jarida pendwa la Sani:
Sani ni mmoja ya majarida yaliyo jizolea umaarufu hapo nyuma na bila shaka kila mtu hakupenda kukosa kila toleo. Ndug AMRI.M.M BAWAJI na wenzie wameamua kurudisha tena hule uondo wa jalida la sani na hawa ni wabunifu sana kwenye story na mpangilio wa habari zao na wanajua kuvutia sana wasomaji na kuwafanya wasitake kukosa toleo lijalo.
Ubunifu wao kwenye uandishi wao na mpangilio wa matukio unanifanya niendelee kuamini hakuna jarida la burudani zuri zaidi ya SANI nap engine ni kutokana na uwezo na ubunifu wa wahariri wao na waandishi wa vitu vipya hasa vichekesho na hadithi za kusisimua.
Nimefurahishwa sana na ujio mpya wa jarida hili la sani na ukizingatia nilikuwa napenda sana zile match za BORN TOWN NA BUSH STARS bila kusahau vituko vya sokomoko na LODI LOFA kwakweli humu kumejaa ubunifu ambao siwezi jutia kulinunua.
Mimi huwa najiuliza huyu jamaa anaye weka maneno kwenye match ya Born town na Bush stars huwa anafikiri nini? Yani huwezi acha kucheka aisee tukija kwenye uchoraji wa watu na matukio ndio usiseme.
Kwakweli Bwana Bawiji na timu yako hongereni sana kwa ubunifu mzuri na kurudisha hili jarida.
Karibuni wana jamvi.