Hongera Bwana Othman M. Bawaji na Amri M.Bawaji kwa kuturudishia jarida pendwa la Sani

Ha ha ha Pimbi hajawahi kufanikiwa ktk harakati zake za mapenzi,,madenge na baba yake kama tom&jerry


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Nimelikuta Jarida la SANI wanapuza Magazeti ntalinunua Badae..! Kwaambao mmeshalinunua Vipi mdosi MAYUKU nae yupo?
 
Dah nimelisoma kipindi niko darasa la kwanza 97 ila nilikuwa sinunui, yalikuwa ni yale yanayonunuliwa na mzazi mwanafunzi analileta darasani
 
Wapi obi, linda, seba bila na kujisahau mi mwenyewe
 
tabasam na lenyewe lirudi kulikuwa na full lovestroy za ukweli yani kama unaangalia movie
 
Komredi kipepe mjanja wa pori

Sokomoko na gari yake pamoja na majibu yake ya kukera

Baba ubaya mzee wa kununua ugomvi

Pambano la betina na Zena

Dr. Love Pimbi mzee wa michepuko isiyo fanikiwa.

Wafanye mpango liwe linauzwa kama soft copy online aisee ili wabeba box a.k.a wazee wa dual citizenship pia walifaidi
 
Ubini wao mimi nakumbuka ni BAWJI sio BAWAJI.


Just like the old days
 
Babu Sani "ndio maana toleo letu la leo linasema, hauonjeshwi?".Hapo picha za kuchora ilazima Dushelele liinuke.
 
Ntafurahi sana kama wakirudisha pia jarida la "AMBHA"..maan pia nilikuwa nalielewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…