Kabaki kichwa kwa kweli ila ukichokoza hapo hautaamini kama ni mteja jinsi watu walivyobalikiwa mkono wa ajabu,utaelewa kwa nini wanamuita chuma cha reli nondo.
Hahaha Matumbo bana najua ana nguvu ryt but mwili unapotea ameanza kuwa na Muonekano wa kiteja too bad.. Chidi anapendeza sana akiwa mnene
Ila kwa kala p alikaa
kwa kweli anaskitisha sana huruma inanijia japo alikuwa mzinguaji mchiz....Naona Ambwene,dangote na dully wamepigana sana kumrudisha hadi wanambeba kwa nguvu aende studio gharama wanabeba wao mpaka za vichupa nini sidhani yeye kama angemfanyia hivi mtu aliyepotea.
View attachment 179036
Anatafuta hela ya Sembe aendelee dozi
Sent from my iPad Air using JamiiForums