Hongera Cocacola kwanza wengine wanasubiri nini?

Hongera Cocacola kwanza wengine wanasubiri nini?

singojr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
5,313
Reaction score
6,895
Nimeliongelea hili swala mara nyingi na sitaacha hadi nitakapoona hatua zimechukuliwa.

Chupa za plastic kwa sasa sio tatizo kwani kuna waokota chupa ili ziweze kuwa recycled. Lakini kuna baadhi ya chupa za rangi kama Mo energy, Azam energy, Azam ukwaju na Sprite haziokotwi kwasababu ni haifai ku recycle na chupa nyingine hivyo hubaki mtaani na kuchafua mazingira.

Hatimaye Sprite wameamua kuachana na chupa zao za kijani ili wawe na chupa zinazoweza kuwa recycled. Serikali anasubiri nini kuwaambia makampuni mengine wabadilishe rangi za chupa zao?

Kwanini isiwepo sheria kali kwa kampuni zinazozalisha chupa zisizofaa kuwa recycled tena.

Mazingira masafi huleta maendeleo.
 
Mkuu hizo ni Sprite Zero na zipo siku nyingi.
 
Back
Top Bottom