Hongera dada kwa kuhitimu na kupata shahada

Hongera dada kwa kuhitimu na kupata shahada

Beauty Eva

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
131
Reaction score
374
Japo Shahada ni kitu cha kawaida siku hizi, sina budi kukupa hongera na pongezi tele dada yangu mpenzi.

HONGERA SANA. nisaidieni kumu-wish dada yetu.
IMG-20161124-WA0002.jpg
 
Hongera sana dada, hata Mungu kakutunukia shahada ya ........ btw hiyo shahada ya chuo ni katika fani gani?
 
Juzi tulikuwa tunam wish yule dadako mwingine birthday njema..

Wa leo ni happy shahada..
Teh teh.

Na ya kwako usisahau kutuwekea pia tuku wish hicho utakachopata.
 
Ndo yeye huyo,,any way, wish you a happy shahada day......
 
Anaitwa nani? mpe hongera! ajitahidi kwa masters!
 
Umeamua kumtangaza huyu Dada kama wrote Wa shahada wakija humu na pongezi si zitajaa na shahada itakuwa kama cheti cha primary,jifunze
 
Dada yako yupo humu???
Kama yupo mwambie aje fasta nimpe habari njema.
 
Kwa nilivyomuangalia atakuwa na Chura iliyoshiba. Sipati picha avaapo zile sketi za suti za wanasheria. Kitu mbembe.

Hongera sana. Aende School of Law sasa.
 
Japo Shahada ni kitu cha kawaida siku hizi, sina budi kukupa hongera na pongezi tele dada yangu mpenzi.

HONGERA SANA. nisaidieni kumu-wish dada yetu. View attachment 438946
Dah!!!! nailaani bodi ya mkopo ona sasa mtoto ka uyo bila hela ulambi kitu yani but congratulation to her kwa kupata degree bana.
 
Juzi tulikuwa tunam wish yule dadako mwingine birthday njema..

Wa leo ni happy shahada..
Teh teh.

Na ya kwako usisahau kutuwekea pia tuku wish hicho utakachopata.
Aweke na picha yake
 
Back
Top Bottom