Hongera dada kwa kuhitimu na kupata shahada

huo si uungwana mwenzio yupo bize kupokea pongezi za watu kwenye cm we upo bize kumpost na kuuza sura yake.


ungekuwa mdog wangu ngekulima makofi matatu ambayo usingeamka mpaka ck ya 3.
 
Halafu wewe baby nishakutafutia substitute ujue eeh..
Natafuta siku nikutambulishe mume mwenzio... Teh
Unajua nimechoka kukufuta machozi utendwapo, nafikiri ni wakati wa kutulizana na Mungu mapenzi niwaachie wenyewe...kila la kheri japo nakupenda sana
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwa msimu huu wa anko magu bora angebaki shule tu maana kazi hazipo na biashara haziendi pia
 
Nipe no zake nimpe kongole zake maana si hatua ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…