Ni habari njema umerudishwa baada ya kuenguliwa kihuni. Utashinda ubunge na wala mabasi ya kupeleka watu misibani anayotoa Abood si hoja kwa wana Moro.
Hofu yangu ni kuwa utashinda lakini kwa mwenendo wa mkurugenzi wa Moro manispaa, hatakutangaza. Panga "majeshi" kabisa maana hatakutangaza. Kama alidiriki kufanya ushenzi alioufanya, kukutangaza kutahitaji "vita"!
Muhimu zaidi usalama wako kuanzia jana mpaka 28/10 upe kipaumbele!