Minja hautaki ubunge mnamlazimisha tu,hela ya kampeni kama chama mmempa?
Mchaga anasema hawezi kutumia mafao yake kwa jambo asilo na uhakika nalo
Chadema imeamuru wagombea wapambane na hali zao kwa kila kitu,ni wachache sana wanaojitutumua na bada ya uchaguzi watakua na hali mbaya sana